CCM hawana uwezo wa kufanya siasa za hoja

CCM hawana uwezo wa kufanya siasa za hoja

Chalii Wa Kipare

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2013
Posts
462
Reaction score
907
Kwa hizi kauli kwamba Mtandao wa Twitter X ifungiwe, nikudhihirisha CCM hawana uwezo wa hoja tena. Ndio sababu kukimbilia kufunga Majukwaa ya ukosoaji. Kwanamna CCM ilivyo, sio chama cha siasa tena bali Genge la Wahuni tu lakutafuna Nchi.

Pauline Gekul alitia mtu chupa matokoni, RC mmoja naye kimlawiti bint huko, lakini huoni hatua zikichukiliwa zaidi ya kuwalinda Wahalifu.

Sasa jiulize, CCM ni chama cha siasa au Genge la Wahuni? Watanganyika, hivi tutaamka lini? Mpaka kila mtu dadaake alawitiwe au kakaake awekwe chupa matokoni ndio tuamke?

Mali zetu zote kama Taifa zinatapanywa kama Ndugu tupo tu, nawasiliaha kwenu ndugu zangu tujadili kwa pamoja.
 


Moto ulivyozidi bungeni, wakaamua waondoe bunge live... baadae wakaona bora waanze kuwachapa risasi
 
sasa wamegeukia tweeter ati inaharibu vijana? kwa kusambaza picha za ngono mbona sisi hatuzioni? na tick tok je?
hao vijana wanaoharibiwa ni akina nani na wapo wapi? idadi yao ni wangapi?
BADALA YAKE WASEME WANAOGOPA ILE MIKUTANO YA TWEETER
 
sasa wamegeukia tweeter ati inaharibu vijana? kwa kusambaza picha za ngono mbona sisi hatuzioni? na tick tok je?
hao vijana wanaoharibiwa ni akina nani na wapo wapi? idadi yao ni wangapi?
BADALA YAKE WASEME WANAOGOPA ILE MIKUTANO YA TWEETER
Ukosoaji imekuwa mwingi hawawezi kujibu mapigo.
 
sasa wamegeukia tweeter ati inaharibu vijana?
Ccm wajinga sana. Hivi kati ya mtandao X na ccm nani mharibifu mkubwa wa vijana?
1. Chongolo alikuwa Katibu mkuu wa ccm, nini kilimtoa kwenye nafasi hiyo?
2. Gekul, Ndugange na na aliyekuwa RC wa Simiyu, nini walifanya?
3. Mange anasema mama anasuguliwa nini?
 
Maojiano ya hoja za kubishana tuwaachie wavivu na wapiga domo, ccm ni kazi tu, upuuzi wa kusutana tuwaachie akina mama
 
Back
Top Bottom