CCM hawawezi toka kwa demokrasia wanajua maumivu na wizi waliousababisha

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,516
Reaction score
5,463
Kichwa cha uzi kinatoshea niende kwenye why!

Kwa sababu

Ccm hawawez toka kwa demokrasia wanajua maumivu na wizi waliousababisha na wanaoufanya kwa watanzania so sio rahisi hawa jamaa kuachia kirahisi sio kabisa.

Na demokrasia haiwez waangusha hawa jamaa.

Na kama ni demokrasia, ashinde Chadema, mifumo itabaki kua corrupted so hapo mapinduzi lazima
 
labda unazungumzia jeshi la panzi na makamanda wa chadema waliofyata kwa one army useless mwaipopo
 
Mkuu, labda nami nikukumbushe niliyowahi kuyaweka humu JF siku nyingi tu; kwamba
:
"Ili Tanzania ipone, ni lazima CCM ife"

Unaweza kudhani hayo ni maneno mazito sana; lakini ukweli wenyewe ndio huo.

Hakuna namna nyingine tena inayowezekana kuiponya Tanzania.

Sasa swali muhimu unaloweza kuniuliza, ni hilo la "CCM KUFA", ambalo ni mjadala tofauti na huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…