Mkuu, labda nami nikukumbushe niliyowahi kuyaweka humu JF siku nyingi tu; kwamba
:
"Ili Tanzania ipone, ni lazima CCM ife"
Unaweza kudhani hayo ni maneno mazito sana; lakini ukweli wenyewe ndio huo.
Hakuna namna nyingine tena inayowezekana kuiponya Tanzania.
Sasa swali muhimu unaloweza kuniuliza, ni hilo la "CCM KUFA", ambalo ni mjadala tofauti na huu.