Uchaguzi 2020 CCM haya ndio maendeleo?

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Ndio maendeleo mnayotaka kuleta kwa kuzalilishana majukwaani kiasi hiki tena mbele ya mgombea Urais wenu.

Na yeye anabariku huu uhuni wa wanawake kufanyiwa uhuni na wanaume mbele ya hadhara?.

Namwona kuna dogo hapo anafurahi tu, kesho yake mbakaji akimbeba kwa style hiyo anafurahi tu... Eeeh si ndio kioo cha jamii yetu kinavyotuonesha
 
Kampeni za CCM zimejaa burudani za mipasho, matusi ya nguoni na dansi za kungonoka. Hakuna sera za msingi za kisiasa.
 
Ndio maendeleo mnayotaka kuleta kwa kuzalilishana majukwaani kiasi hiki tena mbele ya mgombea Urais wenu.

Na yeye anabariku huu uhuni wa wanawake kufanyiwa uhuni na wanaume mbele ya hadhara?.

View attachment 1559588
Huu ni zaidi ya upumbavu. Tunatengeneza taifa ka kuhuni mno.
CCM haijawahi kuwa na uchungu na hii nchi.
Hivi hao watoto nao ni wapiga kura?
 
Bado ile ya kupigana mitama jukwaani mbele ya viongozi wao!! Kampeni za mwaka huu hazina jipya. Miaka mitano kafanya siasa peke yake, watanzania wamemkinai.

Ili kuwavuta tena kwenye mikutano yake, akaona njia pekee iwe ni kuwakodi wasanii njaa wa bongo fleva na bongo muvi. Mwisho wa siku ndiyo hao wanakamatiana na kupandishana n.y.e.g.e. jukwaani.
 
Ndio maendeleo mnayotaka kuleta kwa kuzalilishana majukwaani kiasi hiki tena mbele ya mgombea Urais wenu.

Na yeye anabariku huu uhuni wa wanawake kufanyiwa uhuni na wanaume mbele ya hadhara?.

View attachment 1559588
Magufuli hiyo michezo anaipenda sana ndio maana hawa wahuni wameamua ku demonstrate mbele ya wananchi
 
Hii ume edit vibaya,yani hata asejua anaona kabisa hii picha ni ya kuedit.
 
Ndiyo faida ya kuwakusanya waigizaji,wangekuwa wasanii wasingefanya ujinga kama huu
 
Bila Fiesta mwaka huu CCM viwanja vingekuwa vyeupeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…