sasa hivi ndio najua maana ya Nyerere kumuweka pembeni JK kinyago mwaka 1995, he saw it comming, ndio maana akarekebisha mambo kitaaluma, sasa hivi tumepata role models wetu, kibonde, clouds nk nk, wakati ukweli wenyewe wao wenyewe hawawezi kuishi na haki hii ya competition labda wapewe monopoly, wakati dunia ya sasa hairuhusu mambo hayo au ukweli wa mambo, wapinzani wao wa biashara wanaweza ingia kwa njia tofauti angalia hiyo belair ya india? kuna mtu anaweza kushindana nayo? labda sheria za nchi au za biashara zibadilike, wataanza na mobile, watakuja na internet , na watamaliza na bolly wood nk nk