musicarlito
JF-Expert Member
- Dec 29, 2020
- 368
- 556
Mara nyingi wazee hawa wakitoa neno kwa nia njema ya kuboresha, wamekua wakibezwa na wakati mwingine hata kukogeshwa matusi, wengine wamewahi kupigwa pia
Chama sasa miaka yetu hii imekua ni mwamvuli wa kupiga/ kuhujumu nchi kwa maslahi binafsi...ndio maana utakuta vijana (akina Jaji Sinde Warioba)ambao zamani walikua wapigania uhuru na wajenga chama kwa hoja madhubuti na utendaji mzuri waliingia moja kwa moja kusaidia taifa.
Pia soma: Pre GE2025 - Je, Uchawa unazorotesha Uwajibikaji? Ipi ni namna bora ya kuhakikisha Uwajibikaji unakuwa sehemu ya Utamaduni wa Kisiasa?
Lakini leo vijana hata wale tunaosema wazee, aibu kubwa zaidi wasomi kama ma profesa, badala ya kujenga hoja kutusaidia kutoka hapa tulipo si ajabu ukakuta nao wanasema..."tunakwenda na flani" ...mitano tena...chama kimejaa vijana na watu wa hovyo ambao kila siku wanawaza kujipendekeza tuu/UCHAWA tuu...mwanaume anamsifia mwanaume mwenzake kinafiki akisahau yeye ni baba wa familia.
Hawa wa kwetu (wanamuziki na wana bongo movie) waite "wasanii" Nadhani Italia vizuri, sio kama akina hayati Bob Marley waliokuwa wanamapinduzi na wanaharaki wazuri wa utu na heshima ya binadamu, huwezi kuta wakwetu anatamani kuwa kama hawa...wote wanagombea kukampeni bila kujali nani anafaa au hafai.
Taifa linaangamia.