CCM ifikirie kubadili utamaduni huu, si rasmi na hauko Kikatiba

CCM ifikirie kubadili utamaduni huu, si rasmi na hauko Kikatiba

Wimbo

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2012
Posts
866
Reaction score
625
Napata ufunuo ambao inaonyesha Rais Mama Samia atafanya vizuri sana kipindi cha kwanza cha miaka 5 lakini kutokana yanayoendelea ktk uchaguzi ndani ya CCM kipindi cha pili kinaweza kikawa kigumu licha ya kuwepo kocha mzoefu kamanda Kinana.

Nafahamu Mama hana uchu wa madaraka angeweza kusema hii mitano inatosha. Lakini (ninahisi;hizi hisia zangi) wapo wanaonufaika ambao wangependa aendelee.

CCM iondoe utamaduni wa kuacha kulazimisha miaka 10 haipo kikatiba hii naiandika kwa faida ya CCM. Na ikimpendeza Mama atupe katiba mpya kabla ya 2025
Itamheshimisha sana.

Anapofurahia Kenya kutupa Zawadi ya Amani asisahau kuifikiria Tanzania na kesho yake wakati akiwepo au akiwa hayupo.
 
MAGUFULI alitaka Watawala MILELE na Nyumbu wa Limumba wangempa aliwazidi Ubongo
 
Back
Top Bottom