CCM ikicheza na Waitara jimbo linaweza kurudi CHADEMA

Kwa hooks and crooks Heche anaondoka kapa ,intelijensia ya ccm sio kama ya chadomo,Waitara nduo mbunge wa Tarime mjini,utaki unaacha.
Najua unapima upepo,chadema mwaka huu 2020 haitapata mbunge hata mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenzio anazungumzia Tarime Vijijini we kibuyu hata hujielewi, polepole huwa anawanywesha wanzuki ya moto sana.
 
Kwa hiyo baada ya kufichua ufisadi wa mwenyekiti wa Chadema ndio mmejua kuwa ni mlevi? Ulevi na kazi yake unaingiliana vipi?
 
Una lako Jambo sio bure....suppose ungekuwa unatokea tarime ungemwelewa vema mwandishi
 
Haya tujipe muda naona mnaota mchana chadema kumshinda CCM ni ndoto mwaka huu
 
WAITARA anarudi kama mbunge wa kuchaguliwa HECHE atafute kazi yakufanya, siyo yeye tu bali wabunge wengi wa chadema kurudi bungeni ngumu sana
inaonekana familia ya chambiri haina ushawishi kwenye siasa za tarime kwa sasa.

namfahamu gimunta kwa miaka mingi, anaweza kuwa mzuri kwenye uongozi wa chama, si ubunge. mshaurini kama mpo karibu naye.
 
Wewe ndio hujui siasa,ukikuta katika jimbo moja Lina kabila moja tu Mara nyingi mgombea anayetoka kwenye koo kubwa anakuwa na uwezekano mkubwa wa kushinda hii hasa ni kwa majimbo ya vijijini.
 
Wewe ndio hujui siasa,ukikuta katika jimbo moja Lina kabila moja tu Mara nyingi mgombea anayetoka kwenye koo kubwa anakuwa na uwezekano mkubwa wa kushinda hii hasa ni kwa majimbo ya vijijini.
Kama ni hivyo mbona huyo Heche alishinda na hakutokea huko?

Kwenye mazingira kama hayo mpasuko hauwezi kosekana, hata kama wa ukoo mkubwa atapitishwa, bado wale wa koo nyingine na neutral wakiamua kupiga kura against mgombea wa ukoo mkubwa, huyo wa ukoo mkubwa hawezi kushinda.
 
Nitasoma tena baadae

kIongOzI Wa BaaDae
 
John Gimunta anachukua ubunge wa tarime vijijini.
wabunge wengi wa chadema wamepitishwa na wapiga kura wa CCM baada ya CCM kugawanyika.2020 tunarudisha majimbo yote.
 
tarime vijijini Heche harudi,,,ujasikia nirudie?
 
Hujui siasa za kikurya, wale hawapigi kura kwa uwezo wako, hoja zako, elimu yako, umaarufu wako, kazi yako, hali ya uchumi wako wala kukubalika kwako, wao hupiga kura kwa kufuata kooo.
 
Leo waitara kanusurika kipigo mwanza. Nafikiri kashashindwa huko Tarime tayari.
 
Hujui siasa za kikurya, wale hawapigi kura kwa uwezo wako, hoja zako, elimu yako, umaarufu wako, kazi yako, hali ya uchumi wako wala kukubalika kwako, wao hupiga kura kwa kufuata kooo.
Fact..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…