CCM ikishinda Ubunge Tunduma, Songwe na Mbeya mjini niiteni jina lolote baya

CCM ikishinda Ubunge Tunduma, Songwe na Mbeya mjini niiteni jina lolote baya

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
Kwa chuki iliyo dhahiri kwa CCM kutokea kwa wananchi wa maeneo niliyoyataja hapo juu hakika ni wazi CCM haina chake.

Tunduma kwa mfano, ukiitaja CCM na Rais wake kwa wema jiandae kutukanwa ama kufukuzwa eneo husika.
 
Itakuwa ulikutana na wababaishaji wachache wa Chadema,lakini mkoa wa Songwe tunasema Ni Samia, Ni CCM Ndio chaguo letu kwa kuwa Tumeona namna ilivyofanya kazi kubwa ya kugusa maisha yetu hasa katika kilimo ambapo tumenufaika na mbolea za Ruzuku, CCM itapita majimbo yote ya Mbozi,Vwawa,Momba,Tunduma, Ileje,Songwe Hadi chunya na kuongoza halmashauri zote, Huku Ni kijani tu
 
Itakuwa ulikutana na wababaishaji wachache wa Chadema,lakini mkoa wa Songwe tunasema Ni Samia,Ni CCM Ndio chaguo letu kwa kuwa Tumeona namna ilivyofanya kazi kubwa ya kugusa maisha yetu hasa katika kilimo ambapo tumenufaika na mbolea za Ruzuku, CCM itapita majimbo yote ya Mbozi,Vwawa,Momba,Tunduma, Ileje,Songwe Hadi chunya na kuongoza halmashauri zote, Huku Ni kijani tu
Usipotoshe!
 
mnasema wewe nanani?

Na Wana mkoa wa Songwe na majimbo yaake
wapo wangapi?

uliongea na wenye umri gani elimu gani? kipato je? wa mjini au vijijini? uliwapataje?

lengo la kuongea nao lilikuwa nini? uliwauliza maswali gani?

jibu hayo kwa ufupi
 
Hapo Tunduma CCM alifosi tu enzi za magufuli baada ya kumnunua David silinde, lakini hapo Tunduma ni moto ulao Kwa wanaccm hata kuvaa jezi tu ya CCM ni aibu kwakwel
 
Back
Top Bottom