Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Tatizo wizi wa kura utafanyika kwa kiwango kikubwa.Kwa chuki iliyo dhahiri kwa CCM kutokea kwa wananchi wa maeneo niliyoyataja hapo juu hakika ni wazi CCM haina chake.
Tunduma kwa mfano, ukiitaja CCM na Rais wake kwa wema jiandae kutukanwa ama kufukuzwa eneo husika.
Kwa ninachokishuhudia kwenye hayo maeneo ndugu yangu uchaguzi ujao utakuwa ni zaidi ya uchaguzi.Tatizo wizi wa kura utafanyika kwa kiwango kikubwa.
Yaan. Mpaka leo bado tu waamini CCM inategemea kura za hao wananchi kushinda.Kwa chuki iliyo dhahiri kwa CCM kutokea kwa wananchi wa maeneo niliyoyataja hapo juu hakika ni wazi CCM haina chake.
Tunduma kwa mfano, ukiitaja CCM na Rais wake kwa wema jiandae kutukanwa ama kufukuzwa eneo husika.
Usipotoshe!Itakuwa ulikutana na wababaishaji wachache wa Chadema,lakini mkoa wa Songwe tunasema Ni Samia,Ni CCM Ndio chaguo letu kwa kuwa Tumeona namna ilivyofanya kazi kubwa ya kugusa maisha yetu hasa katika kilimo ambapo tumenufaika na mbolea za Ruzuku, CCM itapita majimbo yote ya Mbozi,Vwawa,Momba,Tunduma, Ileje,Songwe Hadi chunya na kuongoza halmashauri zote, Huku Ni kijani tu
Itakuwa ulikutana na wababaishaji wachache wa Chadema,lakini mkoa wa Songwe tunasema Ni Samia,Ni CCM Ndio chaguo letu kwa kuwa Tumeona namna ilivyofanya kazi kubwa ya kugusa maisha yetu hasa katika kilimo ambapo tumenufaika na mbolea za Ruzuku, CCM itapita majimbo yote ya Mbozi,Vwawa,Momba,Tunduma, Ileje,Songwe Hadi chunya na kuongoza halmashauri zote, Huku Ni kijani tu
Na Wana mkoa wa Songwe na majimbo yaakemnasema wewe nanani?
Huo ndio ukweliUsipotoshe!
wapo wangapi?Na Wana mkoa wa Songwe na majimbo yaake