Nimekuwa nikifuatilia mtifuano wa kipropoganda kwenye mitandao kwa sasa mashambukizi ya CCM yako vizuri asilimia 60 mara Msigwa alibeba chupa ya damu ya Lissu, mara Lissu anaanzisha chama kipya na mengine.
Chadema inapigwa mashambulizi matakatifu na akina Lukas Mwashamba.
Chadema inapigwa mashambulizi matakatifu na akina Lukas Mwashamba.