William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
- Thread starter
-
- #21
Mama Radhia ninamfahamu, na anahusika sana na mambo ya kuwachafulia viongozi wengi majina yao, kama alivyohusika na kumuondoa Mzee Nyakyi pale New York, tepu zilitepiwa na mtoto wa Joseph Nyerere kule NY, akampatia Mzee Nyakyi, ambaye alimapatia Mzee Mosha(Mwenyekiti wa NICO) ambaye wakati ule alikuwa director UN, na zikafikishwa magazetini bongo enzi za Mwinyi, dunia nzima ikazisoma,
Huyu mwanamama hakuishia hapo, akajaribu kuleta kizaa zaa cha UPATU, alipooona anataka kukamatwa akawahi na kulipa shilingi millioni tano,
Akazua tena kizaa zaa cha kwenda kwenye mkutano UN bila ya kuruhusiwa na katibu wa wizara wakati huo akiwa Kibelloh(Muisilamu), Kibelloh akamrudisha na kumlazimisha kurudisha hela za serikali haraka, akazilipa lakini akamzunguka kwa waziri akamhamishia London kinyemela,
Kufika tu London akaanza vita dhidi ya Kibelloh, Muisilam mwenziwe kwa kushirikiana na RO, ambaye alikuwa anakaribia kurudi nyumbani lakini still was running the show pale, baadaye wakanza pia kumhusisha Salva, kuandika uongo usio na mfano mpaka kwenye google, lakini tukamsaidia Kibelloh ambaye ni Muisilamu kwa kutoa ushahidi wa kweli kuwa anaonewa na tukawataja kwa majina wote wanaohusika na kumpiga vita, rais kuanzia Mkapa mpaka JK, wakashindwa na kumuacha muungwana Kibelloh kuendelea na kazi muhimu ya taifa letu, na mpaka leo rais JK amemuhamishia Paris,
Wewe na wenzako hamna hoja wala ukweli, ila mna maneno ya masikani na saigon huko Kariakooo, hapa ni international ndio maana mnapwaya na kukimbiwa na wote, mimi siwakimbiiii maana uwezo wenu ni mdogo wa kufikiri na unajionyesha, na ninajua kuwa mmetumwa na RO, haiwezekani nyinyi mmeshupalia tu issue moja ya udini tu na RO, wakati humu kuna issue nyingi muhimu za taifa!
Tafadhali mzee Tafiti, wakusanye watu wako ili tuendelee na mijadala muhimu ya taifa letu!