CCM imara inauhitaji upinzani imara

Blood of Jesus

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Posts
4,486
Reaction score
8,098
Mimi nikiwa mtumishi wa Mungu ninawatakia kila la heri CHADEMA katika uchaguzi wao wa viongozi wa ngazi za juu wa leo tarehe 21/01/2025. Ninawatakia uchaguzi wenye amani, huru na haki katika kuwapata viongozi hao.

"chama legelege huzaa serikali legelege"

Mungu ibariki Tanzania, ibariki CHADEMA, m'bariki Tundu Antiphas Lisu. na watu wote tuseme AMINA.
 
Sasa CCM imeingiaje Hapo? Huu uchaguzi utakua funzo Kwa CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…