Edenkimario
New Member
- Jun 3, 2018
- 2
- 5
Wenzao bondeni wameungana na "MAKABURU" bado mmoja ..Katika ulimwengu wa kiroho CCM inaonekana imebakisha miaka michache sana ya kuitwa chama tawala Tanzania
Sitaki kusema sana lakini wacha tuone itakavyokuwa. Lakini kama wanavyosema kwenye ulimwengu wa kiroho ukikataliwa basi na kwenye ulimwengu wa kawaida inakuwa hivyo hivyo.
Sure lo time will tell
Amka kwenye usingizi ndugu! Ndoto za mchana hizoKatika ulimwengu wa kiroho CCM inaonekana imebakisha miaka michache sana ya kuitwa chama tawala Tanzania
Sitaki kusema sana lakini wacha tuone itakavyokuwa. Lakini kama wanavyosema kwenye ulimwengu wa kiroho ukikataliwa basi na kwenye ulimwengu wa kawaida inakuwa hivyo hivyo.