CCM imefaulu na kuendesha mambo yake KIDIGITAL

CCM imefaulu na kuendesha mambo yake KIDIGITAL

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
9,019
Reaction score
6,825
Leo nimeamshwa na ujumbe mfupi wa maneno kwenye kitochi nokia changu. Ujumbe kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM taifa na timu yake. Ujumbe ulionikumbusha:
Ndugu COMTE namba yako ya uanacham ni CXXXXXXX. Shiriki kura ya maoni tar. 23/10/2024 katika mkutano wa tawi ili umchague mgombea wa CCM atakae shiriki uchaguzi wa serikali za mitaa tar 27/11/2024
Matumizi sahihi na yenye tija ya teknohama
Niongeze sauti au Mwanga
 
Back
Top Bottom