Kura za kumpata spika zinapigwa ndani ya BUNGE, nilitegemea CCM itapitisha wagombea kama watatu hivi na kupigiwa kura za kugombea nafasi ya uspika . Ofisi ya katibu wa BUNGE ndio hutoa jina la atakayepigiwa kura .
Je kama Tulia alipigwa chini na ofisi ya BUNGE itakuwaje. Dr Tulia alitakiwa ajiuzulu kiti cha unaibu spika kabla ya kugomea nafasi ya uspika .
Kwa kuwanyima wengine nafasi ya kugombea hamuoni kwamba mmewanyima wengine haki yao ya kugombea nafasi ya uspika