CCM imeniumiza sana! Ilichonifanyia hapana.

CCM imeniumiza sana! Ilichonifanyia hapana.

MAHANJU

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
5,252
Reaction score
8,003
Kutupa maoni ya wananchi na kutengeneza katiba yao, Wanazazimisha akidi kwa nguvu,wanatulazimisha wananchi tuipigie kura katiba pendekezwa! Hapana aisee! Kwa dhambi hii naomba usiku na mchana ccm ishindwe vibaya.
 
Naungana na wewe na hii ndiyo inafanya nisimpende magufuli na Lowasa maana wote walikuwa kwenye kundi la waliotaka katiba ya CCM na Sita ipite
 
kutupa maoni ya wananchi na kutengeneza katiba yao, wanazazimisha akidi kwa nguvu,wanatulazimisha wananchi tuipigie kura katiba pendekezwa! Hapana aisee! Kwa dhambi hii naomba usiku na mchana ccm ishindwe vibaya.

ombi lako limetupwa lete lingine
 
Back
Top Bottom