[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ninachofurahi Baada ya October Chadema itakuwa haina mbunge hata mmoja
Mbowe Akili zitamkaa sawa
Umewaza nini mkuuNinachofurahi Baada ya October Chadema itakuwa haina mbunge hata mmoja
Mbowe Akili zitamkaa sawa
Mtafukuzana na kufukuza wenye kukisaidia chama wabaki wapiga debe.Eti wangepewa muda wajitetee! Majibu ya kujitetea kwa Membe yako wapi? Lissu alijitetea wapi? Nasari alijitetea? Meya wa Jiji mpaka anafungiwa ofisi!, Meya wa Iringa Je? Meya wa Ubungo je? Ccm mmepoteza dira ni chama ambacho hakina hoja mbele ya umma. Naunga Mkono Mbowe Safisha Chama bado kuna wengine fukuza takataka zote.
Hoja waliyonayo maccm ni kupambana na chadema badala ya kupambana na matatizo ya kijamii na kiuchumi yanayowakabili wananchi wa taifa hili.Eti wangepewa muda wajitetee! Majibu ya kujitetea kwa Membe yako wapi? Lissu alijitetea wapi? Nasari alijitetea? Meya wa Jiji mpaka anafungiwa ofisi!, Meya wa Iringa Je? Meya wa Ubungo je? Ccm mmepoteza dira ni chama ambacho hakina hoja mbele ya umma. Naunga Mkono Mbowe Safisha Chama bado kuna wengine fukuza takataka zote.