LGE2024 CCM imerejesha iliyoyafanya chaguzi za 2015 na 2020

LGE2024 CCM imerejesha iliyoyafanya chaguzi za 2015 na 2020

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
CCM yarejesha aliyoyafanya 2015 na 2020 kwenye u haguzi mkuu na serikali za mitaa.

Hakuna asiyejua kuwa chini ya uongozi wa Hayati JPM wapinzani walienguliwa almost everywhere mpaka wabunge wengi wakapita bila kupingwa.

Alianzisha mfumo ambao haujawahi kutokea nchi yoyote duniani ya kuwa mpinzani akirudisha form anatekwa tena na polisi na huna pa kwenda. Mfano Devotha Minja alitekwa pale Morogoro wakati akirudisha form.

Mpaka ilipelekea ukitaka kurudisha form basi unarudisha katika form tofauti wengine mpaka wanavaa hijabu ili wasijulikane.

Serikali za mitaa enzi zake wapinzani walizuiwa kabisa kugombea kwa njia mbalimbali.

Mwisho. JPM kafufuka tena na amefufukia kwa Samia.
 
Back
Top Bottom