PreGE2025 CCM imesomba vijana mitaani kwenye vyombo vya habari wanacho kiongea hakieleweki hii inatia aibu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,558
Reaction score
7,935
CCM imesomba vijana mitaani na kuwaweka mbele ya vyombo vya habari wanacho kiongea hakieleweki hii inatia haibu sijui ulaya na dunia itakapoona itakuwaje ?

Nina asilimia kubwa kuwa hawa vijana wamekusanywa na kusombwa tu mitaani na kulishwa maneno na mtu kisha kuja mbele ya vyombo vya habari wala hawajui lolote kuhusu katiba wala sheria za nchi maskini.

Hizi ni siasa za kimbumbumbu sana na zinatutia aibu sisi kama taifa, badala ya kuwa na utawala wa kisheria na hoja zenye kujenga, sisi tumechagua utekaji na mauwaji halafu mwisho wa siku tuna kusanya vijana kama hivi kwenye vyombo vya habari kuongea pumba sasa sijui dunia ikiona itatuchukuliaje ?
 
Pale lumumba si wana vijana timamu kabisa pamoja na wana chuo kibao why wasiwatumie?
 
Wanachama wa NETO kwenye Moja na mbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…