maandamano
JF-Expert Member
- Nov 12, 2025
- 726
- 1,548
Hivi unajiuliza haya iliyokuwa inayafanya kuanzia kutoa hongo,kununua wapinzani,kuteka watu,kuuwa wapinzani mpaka kuja kuuwa maelfu kwenye maandamano bado kuna mijitu inamtetea huyu Mama?
Nyie Viongozi wa Kiisilamu mnaakili kweli?au tatizo ndiyo kumaliza darasa la nne na la saba na kwende kusomea Dini halafu mtu aanajiita Shekhe,
Amani mnayoitetea ipi wakati kila uchaguzi CCM wamekuwa wakiteka na kuuwa watu,Mnashindwa muungane na wakristo waandamanji kuikemea serikali baadala yake mnaitetea,iliyouwa watu na kushindwa kuwakabidhi maiti ndugu zao,Mimi sidhani kama huyu mama bado anaweza kusimama na akahubiri Amani na watu wakamsikili

Sujui huko leo watahubiriwa nini? Kuwazungumzia TEC,na kumtetea Samia aliyeuwa watu,aliyeingia madarakani kwa dhuruma?Tupo Msikitini bado hatujatoka Sheikh
Vyama vya siasa katika nchi isiyofuata sheria za dini huwa havina dini bali ni maslahi tu, kama Chadema kilivyojikita zaidi kuwa brain wash wakristo.Hivi unajiuliza haya iliyokuwa inayafanya kuanzia kutoa hongo,kununua wapinzani,kuteka watu,kuuwa wapinzani mpaka kuja kuuwa maelfu kwenye maandamano bado kuna mijitu inamtetea huyu Mama?
Nyie Viongozi wa Kiisilamu mnaakili kweli?au tatizo ndiyo kumaliza darasa la nne na la saba na kwende kusomea Dini halafu mtu aanajiita Shekhe,
Amani mnayoitetea ipi wakati kila uchaguzi CCM wamekuwa wakiteka na kuuwa watu,Mnashindwa muungane na wakristo waandamanji kuikemea serikali baadala yake mnaitetea,iliyouwa watu na kushindwa kuwakabidhi maiti ndugu zao,Mimi sidhani kama huyu mama bado anaweza kusimama na akahubiri Amani na watu wakamsikili
😂😂😂😂😂Tupo Msikitini bado hatujatoka Sheikh
Nyama ya mbuzi za mgao lini tena shekhe?Mbona mnawashwa sana na sisi nyie wagalatia?
Lakini wako kwa ajili ya kutetea haki ambazo hata mwenyewe unazikosaVyama vya siasa katika nchi isiyofuata sheria za dini huwa havina dini bali ni maslahi tu, kama Chadema kilivyojikita zaidi kuwa brain wash wakristo.
Kwa hiyo na wewe unasimama na mama ili kuteka na kuuwa WatanganyikaMbona mnawashwa sana na sisi nyie wagalatia?
Lakini njia ya kutetea hizo haki tuzibadilishe, si vizuri kudai haki kwa kuvunja haki za watu wengine.Lakini wako kwa ajili ya kutetea haki ambazo hata mwenyewe unazikosa
Haki ikipatika itapatikana kwa ajili ya wote,na hii dhuruma tunayofanyiwa ni kwa ajili ya wote pia wanufaika nazani wanajulikanaKama una hasira ingia road babu tusifosiane alaaaa
Ya kuhubiri Amani na Upatanishi wakati wao ndiyo wanaotowa amri za kuuwa watu na kuteka?Msitake watu wote wawe na mawazo sawa nanyie.