Elections 2010 CCM imeyabaka matokeo kote nchini

Anyisile Obheli

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2009
Posts
3,400
Reaction score
320
kwa mfumo huu ni wazi kuwa CCM, NEC, na taasisi zake
vimefanya ubakaji kwa kuyasasambula matokeo ya wabunge
na uraisi ili kumpa nafasi Kikwete na kundi lake la mafisa
kuhakikisha kuwa wanaendelea kulawiti mali za umma,
huku wakiwalazimisha watanganyika wote wasomo na waelewa
kuonekana kuwa ni kundi moja la maamuma
 
Tumia lugha za kistaarabu, usifanye forum ionekane ya wahuni.
 
Tumia lugha za kistaarabu, usifanye forum ionekane ya wahuni.

mwambie Mod aiondoe kama imekuuma
kwani lugha gani mbaya hapo wewe? kakojoe ulale, hiyo ni misamiati
tu usikuze mambo kkulingana na ufinyu wa akili yako kuwaza
 
Watu kama hawa ndio wanatufanya tubaki hapa tulipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…