CCM imfanyie utafiti Katibu wake wa wilaya ya Hai huko Kilimanjaro, anadaiwa hajui kuandika matokeo yake siri za chama ziko mitaani

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Chama cha Mapinduzi Taifa au Mkoa ninawaomba mfanye uchunguzi wa kina kama sio utafiti kumwangalia au kumfuatilia Katibu wa CCM Wilaya ya Hai Kilimanjaro., kama kweli hajui kuandika.

Kuna kila Dalili mtu huyo hajui kuandika hivyo ili kuandika siri au taarifa za chama anafanyia kazi hizo mitaani, matokeo yake siri na taarifa za chama zinavuja na kuwafikia wapinzani.

Hii ni aibu na historia !!!
 
Majizi ya Ccm yana siri zipi ambazo Watanzania hawazijui?
 
Hatuhitaji wasomi!! Kikubwa uwe mpiga debe mzur tu!! Over
 
Hayo mambo sio Hai tu kuna kipindi tupo ziara ya chama katibu akashindwa andaa muhutasari maana ilihitajika muhutasari tuondoke nao
 
Viongozi wengi wa ccm ni duni mno !
 
Chama kina siri gani?
 
Hajui kuandika au kuchapa?
Hajui kuandika kwa kalamu kwa kutumia mkono.

Soma hapa alichokiandika:-

+Nduguzangu wajumbe wa wilaya 2 wajumbe wa nakujulisha kwamba sule eugenia mlinzi wamkoa mchana umeahirishwa.hadi utakapotangazwatena+
 
Tatizo la kutokujua kuandika kaxi za chama zinapelekwa kwenye ofisi za upande wa pili ili kuandikwa.

Matokeo yake siri za vikao zinavuja kabla ya vikao kufanyika.
Hilo kwetu halina tatizo kikubwa apiganie chama na asifie by any means!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…