Tangu Tundu Lissu achaguliwe kuwa Mwenyekiti Taifa wa CHADEMA Kauli Mbiu yake ni "NO REFORM NO ELECTION" na ameendelea kuilaumu CCM.
Ameenda mbali na kuilaumu CCM kuwa dosari katika chaguzi zetu zinasababishwa na CCM kwa kuwatumia vyombo vya ulinzi, watumishi wa umma nk.
Kwa kauli mbiu yake hii ni vema CCM ikamjibu kuliko kukaa kimya.
Kukaa kimya itamaanisha kuwa haya anayoyasema ni ya kweli.
Tokeni hadharani kuyakanusha madai yake.