Mcheza Piano
JF-Expert Member
- Mar 2, 2024
- 562
- 1,339
Imefika wakati kama taifa tuchague watu wenye maono ambao wanaweza kutumia rasilimali za nchi yetu kuijenga nchi yetu.
Hakuna sababu yoyote ya msingi inayozuia Tanzania kuwa kwenye orodha ya nchi tajiri duniani. Kinacho kosekana kwetu ni viongozi wenye maono na wazalendo.
Baada ya kumchunguza kwa muda mrefu, nimejiridhisha kuwa ndugu Masanja Kadogosa ndiye mwana CCM pekee mwenye uwezo wa kuivusha hii nchi toka hapa ilipo.
Haya ni maoni yangu na ni ukweli mchungu. CCM kaeni chini mji tathmini.
Pia soma: Kuelekea 2025 - Kinyang'anyiro cha Urais 2025 kwa tiketi ya CCM: Dkt Mwinyi kuwania Urais wa Muungano?