CCM imvue Uanachama na kumfukuza kabisa Chamani Askofu Gwajima haraka sana bila kuchelewa

Mbona wewe hujatekwa?
 
Kesho pia kuna press ya Polepole, Anza kuandika Uzi WA kumjibu, alaf wiki ijayo Mpina na Gambo, alaf itafuatia press ya Ndugai, bado Bashiru.
Mtu mzima hatishiwi nyau. CCM ni dude kubwa sana ambalo huwezi kulitisha wala kuliyumbisha.
 
Huyu kafurahi Mdude kapotezwa asifurahie watu kutekwa?
 
Sio mwenzio kwa kuwa amelikataa gamba la chawa
Kila chama kina endeshwa kwa misingi ya kanuni ,miongozo na katiba yake. Sasa kwa sababu Gwajima hajawahi kuwa mwana CCM ndio sababu anakurupuka na kujiropokea chochote atakacho
 
Kila chama kina endeshwa kwa misingi ya kanuni ,miongozo na katiba yake. Sasa kwa sababu Gwajima hajawahi kuwa mwana CCM ndio sababu anakurupuka na kujiropokea chochote atakacho
Wewe kwenu hapo katiba ni kijitabu mnawezaje kukaheshimu kakijitabu,acha kutudandanya Mwashamba.
 


Unajua cheo cha gwajima ndani CCM ?
 
Ni lazima avuliwe uanachama haraka sana ili afanye siasa zake za upinzani kwa uhuru kabisa
Unamaanisha Gwajima anatakiwa atafute chama cha kwenda kufanyia siasa za kupinga uovu?. Kwa hiyo huko CCM ni maalum kwaajili ya wanaoshabikia na kuunga mkono ushetani wa kuteka na kuua watu?

Loh! CcM yangu ya kale imeingiza mashetani, yameigeuza kuwa chama cha uovu, wakati enzi hizo kilikuwa mahali pa kutafutia haki kwa wanaodhulumiwa.
 
Kwenye mashindano ya story of change ninaanda andiko mahususi ya namna ambavyo Jamii Forums iwe na utaratibu wa kupima kwanza utimamu wa members wote maana tunakoelea kila mtu anaweza kuwa sio mzima
 

Kwani kikao kimeahirishwa? Usubiri maamuzi ya kikao.
Uzalendo wa Gwajima ni mkubwa sana kwa Taifa. Wewe uzalendo wako ni tumbo lako kujazwa na makombo ya yanayoanguka mezani kwa mafisadi.

Vv
 
We kweli huna akili
Kisa Cha kumvua? Na hatoki mtu wapuuzi nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…