CCM imvue Uanachama na kumfukuza kabisa Chamani Askofu Gwajima haraka sana bila kuchelewa

Ni mjumbe wa kamati kuu,

Na ukae ukijua ushawishi na walio wengi ndani ya kamati wanamkubali,

Sasa usidhani ni jambo rahisi.
 
Mleta mada ni kichaa. Anaropoka tu!! Gwajima afukuzwe kwa kosa la kukemea utekaji? Kwa hiyo ndani ya CCM hatakiwi mtu mwema? CCM ni chama cha maharamia, wauaji pekee?
Wamsaidie hata rafiki zake akina Mushaamba,Chieembe &co kwa huyu sijui kakutwa na nini?
 
Sawa rimoti ya Msoga. Or my bad, rimoti ya Vwawa
 
Sizungumzii habari za cheo bali naongea kuhusu Gwajima na mienendo yake. Hata Ubunge ni cheo na nimeeleza vyema sana juu ya suala hilo.
Kafie mbele huko na roho yako ya kichawi unajifanya unaijua sana CCM na una uchungu nayo kuliko hata wenye CCM yao .
 
Kesho bwana lukasi itisha press conference ujibu hoja za gwajima kisha ndo utoe ushauri kwa wana ccm juu ya kuufuta uanachama wake na kwa sababu zipi
 
Chama kiko kifamilia sahv 😄

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…