CCM imvue Uanachama na kumfukuza kabisa Chamani Askofu Gwajima haraka sana bila kuchelewa

Unatakiwa kujibu hoja mbalimbali alizo zijenga kuhusu masuala mbalimbali yanayo endelea nchini Tanzania.

Alafu, Hivi wewe na Gwajima mkiwa mbele ya Umma wa Watanzania nani anaweza kupewa atention???
 
Ukiwa kama nani utoe Amri kwa viongozi wa ccm kumfukuza Gwajima Uanachama? Gwajima kafanya nini baya? Kutoa maoni yake kuna ubaya gani?
 
Heshima kwa hao viongozi uchwara mnayo nyie tu machawa.
 
Unatakiwa kujibu hoja mbalimbali alizo zijenga kuhusu masuala mbalimbali yanayo endelea nchini Tanzania.

Alafu, Hivi wewe na Gwajima mkiwa mbele ya Umma wa Watanzania nani anaweza kupewa atention???
Hana hoja za kujibiwa zaidi ya kujichanganya changanya tu. Mimi nilishamjibu tayari na kwa sasa naona anastahili kupuuzwa tu.
 
Unatakiwa kujibu hoja mbalimbali alizo zijenga kuhusu masuala mbalimbali yanayo endelea nchini Tanzania.

Alafu, Hivi wewe na Gwajima mkiwa mbele ya Umma wa Watanzania nani anaweza kupewa atention???
Lukas ni mvuta Bangi anasaka uteuzi kwa njia za kishamba sana
 
Mbona umepaniki kiasi hicho? Embu kunywa dawa.
 
Ana haki ya kubaki SABABU chama SI mali ya MTU ni mali ya umma hata HAO unao waona HAPO watatoka TU watake wasitake wataachia WENGNE
 
Kwenye mashindano ya story of change ninaanda andiko mahususi ya namna ambavyo Jamii Forums iwe na utaratibu wa kupima kwanza utimamu wa members wote maana tunakoelea kila mtu anaweza kuwa sio mzima
Kabisa🤝
 
Unatakiwa ufukuzwe wewe kwa uchawa
 
Ana haki ya kubaki SABABU chama SI mali ya MTU ni mali ya umma hata HAO unao waona HAPO watatoka TU watake wasitake wataachia WENGNE
CCM ni chama chenye utaratibu ,kanuni na miongozo yake. CCM haiendeshwi kihuni huni. Siyo mahali pa kujiropokea kama mlevi wa gongo
 
Hoja ni kwamba Gwajima hana kosa hana baya kaongea vizuri kiungwana hataki siasa za chuki uonevu manyanyaso yasiyo na Tija kwa Taifa
Siasa za chuki kafanya nani? Ni vipi Lema angerejea Nchini kama kungekuwa na siasa za chuki? Ni vipi CHADEMA ingefanya siasa zake majukwaani kama kungekuwa na siasa za chuki? Embu acheni ujinga wenu na kuunga mkono ujinga.
 
Ni historia gani inafanya haya yanayofanyika sasa?

1982 Nyerere aliwahi kunukuliwa kuwa hii katiba ikiendelea kutumika nina wasiwasi kuna mtu atakuja kuitumia vibaya.

Huenda ulikuwa haujaundwa bado.
 
Watu wamechoka hata ile ku like tu pumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…