Nakumbuka Mbowe wakati wa Kampeni za Urais wakati yupo Dodoma alisema kuwa ataufanya Mji wa Dodoma uwe kitovu cha Elimu na ndiyo hivyo CCM waliiba kweli, Sasa wewe umejijibu kila kitukuna thread ilitoka hapo siku za nyuma, ikidai UDOM inajengwa kisiasa.me kwamtazamo wangu, hakuna mahala popote na sehem yoyote duniani, kukiwa na kitu cha maendeleo pasipo ingiliwa na siasa.ni jambo la kawaida sana kwa chama cha siasa kujinakshi na kujisifu kwa kitu kikubwa cha maendeleo wanapokifanya. sijaona tatizo kwa CCM kujisifu kwa ujenzi wa UDOM, hata kama waliiba sera kwa CHADEMA....kwani nao wanahaki na hawazuiwi kuiga mfano wa vyama vingine ndani na nje ya nchi kwa maendeleo ya Taifa
ila kuiba sio mbaya mkuu, me naona sawa tu ilimradi iwe na maendeleo ya taifa..hata wao kusema kuifanya dodoma iwe kitovu, ni wazo lilelile la CCM kuiweka Dom kuwa mji mkuu.
kuna thread ilitoka hapo siku za nyuma, ikidai UDOM inajengwa kisiasa.me kwamtazamo wangu, hakuna mahala popote na sehem yoyote duniani, kukiwa na kitu cha maendeleo pasipo ingiliwa na siasa.ni jambo la kawaida sana kwa chama cha siasa kujinakshi na kujisifu kwa kitu kikubwa cha maendeleo wanapokifanya. sijaona tatizo kwa CCM kujisifu kwa ujenzi wa UDOM, hata kama waliiba sera kwa CHADEMA....kwani nao wanahaki na hawazuiwi kuiga mfano wa vyama vingine ndani na nje ya nchi kwa maendeleo ya Taifa
Binafsi najivunia kuwa mmoja wa wataalamu waliodizaini na wanaosimamia ujenzi wa chuo hicho cha Dom,ukweli utabaki pale pale ndugu yangu Semenya,CCM WAANAHITAJI PONGEZI KWA HILO!Je chuo kingejengwa Dar mgesema wameiba sera ya nani?Watanzania tujenge utamaduni wa KUAPRECIATE mtu anapofanya jambo jema,Kwa hiyo mnataka kuniambia kama CHADEMA wakisema wanataka wajenge mahospitali na barabara CCM wasijenge waache watu wafe kisa eti CHADEMA ndo wameanza kusema?
Mbona hao CHADEMA wanasema kwa maneno tu vitendo hatuvioni? Wauze basi hata HELICOPTER yao wajenge hata chumba kimoja cha darasa tuwaone walivyo serious.
Ukweli binafsi nawapenda CHADEMA,lakini wenzetu,mwenzenu akifanya jambo jema msifie,ikubari kzi yake ilivyo nzuri au ndo mmekuwa kama akina MPOKI na msemo wao:
''OMWATANI TAKWETA MUSHAIJA''
Yaani jirani yako hawezi ku-appreciate kama wewe ni Mwanaume (Jirani yako hukudharau siku zote)
HIVI KUMBE CHUO KINAJENGWA NA CHAMA?............
mbona mimi nawajua wanao finance,na ninawafahamu BENEFICIARIES PIA!kwenye list yangu ya financiers sijaona kama kuna sisiemu!...........
kuna thread ilitoka hapo siku za nyuma, ikidai UDOM inajengwa kisiasa.me kwamtazamo wangu, hakuna mahala popote na sehem yoyote duniani, kukiwa na kitu cha maendeleo pasipo ingiliwa na siasa.ni jambo la kawaida sana kwa chama cha siasa kujinakshi na kujisifu kwa kitu kikubwa cha maendeleo wanapokifanya. sijaona tatizo kwa CCM kujisifu kwa ujenzi wa UDOM, hata kama waliiba sera kwa CHADEMA....kwani nao wanahaki na hawazuiwi kuiga mfano wa vyama vingine ndani na nje ya nchi kwa maendeleo ya Taifa
Binafsi najivunia kuwa mmoja wa wataalamu waliodizaini na wanaosimamia ujenzi wa chuo hicho cha Dom)
TUACHE NA tz YETU, WEWE IKUHUSU NINI WAKATI SIYO MTANZANIA....Wajivunie nini?kujenga chuo kimoja kwa dola mil25???????give me a break
kwa taifa la watu milioni 40 na mapato ya dola milioni 400 kwa mwezi
walipaswa kujenga vyuo kumi kwa wakati mmoja.....
Tatizo la watanzania na ccm yenu ni kuwa wote mna mawazo madogo
poor mentality,