MWANALUGALI
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 601
- 34
Akionesha kana kwamba anaheshimu Tume ya Uchaguzi lakini si kweli, Kinana ameamua kutangaza final tally ya kura za UBunge na kuonesha kuwa kwenye tathmini yao wao walikuwa wanatarajia wapinzani watashinda majimbo 28 bara lakini sasa wameshinda majimbo 29. Sielewi kwanini amefanya hivyo wakati hata nusu ya majimbo yote kura hazijatangazwa?
Kama CCM wanaamini wanaweza kutoa matangazo yao ya kuhitimisha kura za Ubunge, Chadema nao waanze kutoa matokeo ya Urais kwa kutangaza maeneo ambayo wanajua kuwa wamefanya vizuri.
Mzee MKJJ...
Naona umetia chumvi kibao, hayo sio matokeo rasmi kama unavyodai. Mh. Kinana ametoa tathimi ya ushindi wa viti vya ubunge na sio matokeo ya kura! Jaribu kumsikiliza tena na utamfahamu.
Yeah, hicho ndo' kitu huwa kinanikera hapa JF. Watu kazi yao ni kulalamika tu. Badala ya kukaa chini na kubuni mbinu mpya za kutuwezesha kushinda mwaka 2015, tunabakia kutukana ovyo kama hatuna akili nzuri. Aibu sana!You are right, nikiisoma tena post imekaa vibaya. No offense. But there is too much complaining in JF. Sasa a party strategist kaenda kwenye media ku-project the party's expectations. Watu wanalalamika, as if wao wamekatazwa. Its things like that.
Na wewe nae unamlinganisha JK na Bashir na Mugabe. That is over the top babu, do you really know what Bashir has done to South Sudanese? South Sudanese wamelosti for 23 years because of Bashir, halafu unamlinganisha JK na Bashir. Ushabiki gani sasa huu?
Kibunango.. wewe ni mjuzi mzuri wa lugha ya Kiswahili.. sidhani kama Kinana ameuma maneno. Labda nikusaidie:
Anaanza: "Kwa tathmini yetu sisi ni kwamba tumepata ushindi mzuri" "Mpaka hivi sasa tumepoteza viti 29 Tanzania Bara na viti 22 Tanzania Visiwani, Jumla ni viti 51" Hatumii neno "huenda, inaonekana, kuna uwezekano, n.k.
"Tumeridhika na matokeo ya uchaguzi wa majimbo yote 239 kama yalivyoamriwa na Watanzania wapiga kura" - Hata majimbo 50 hayajatangazwa rasmi wao wanaridhika vipi?
"Ushindi wetu mpaka sasa kwa asilimia ni asilimia 78.24 ya wabunge" "Tuna wingi mkubwa wa kutosha, wapinzani wamechukua asilimia 21.75"
Sasa sijui kama kuna utata wa nini anachosema.
Mwekeni Beregu TBC nae atangaze. Its a free country. I believe Kinana is projecting their internal polling and projections. Usilalamike kwenye message board, hamjakatazwa kwenda AGAPE FM or whatever else you got going on kutangaza matokeo yenu.
Ahaaaa!!! Mkuu, mkuu baba!! au mimi ndio sijakupatapata vizuri apo!:thinking: huwa nasikiasikia tu😛eace:Mwekeni Beregu TBC nae atangaze. Its a free country. I believe Kinana is projecting their internal polling and projections. Usilalamike kwenye message board, hamjakatazwa kwenda AGAPE FM or whatever else you got going on kutangaza matokeo yenu.
:nono: au sijakuelewa vema apo? unachosema ndicho unachomaanisha au umemaanisha usichosema!!! Nilidhani unasemea wa-sisiemu apo! nilidhani kile ambacho sikudhani awali Ahsante kwa majibu NIMEKUELEWENI apo:tape:nyie wadini tuowazungumzia kila siku. Hamtakiwi kamwe ndani ya nchi yetu.
Akionesha kana kwamba anaheshimu Tume ya Uchaguzi lakini si kweli, Kinana ameamua kutangaza final tally ya kura za UBunge na kuonesha kuwa kwenye tathmini yao wao walikuwa wanatarajia wapinzani watashinda majimbo 28 bara lakini sasa wameshinda majimbo 29. Sielewi kwanini amefanya hivyo wakati hata nusu ya majimbo yote kura hazijatangazwa?
Kama CCM wanaamini wanaweza kutoa matangazo yao ya kuhitimisha kura za Ubunge, Chadema nao waanze kutoa matokeo ya Urais kwa kutangaza maeneo ambayo wanajua kuwa wamefanya vizuri.