BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Vikao vya ngazi ya Taifa vya Chama Cha Mapinduzi (CCM) vimeanza jijini Dodoma huku miongoni mwa kazi zitakazofanyika ni kupokea mapendekezo, kujadili, kupitisha na kufanya uteuzi wa mwisho wa wanachama wanaomba uongozi katika ngazi za wilaya.
“Chama cha CCM kinapenda kuwaarifu wanachama wake na Watanzania wote kuhusu kufanyika kwa vikao vya kawaida vya uongozi ngazi ya Taifa jijini Dodoma kuanzia Septemba 26, 2022 Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM (CC) na Septemba 27 na 28 Septemba 2022 Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa (NEC),”amesema.
Amesema vikao hivyo, vitatanguliwa na kikao cha sektarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika Septemba 22 na 23 Septemba 2022, jijini Dodoma.