Kamanda Asiyechoka JF-Expert Member Joined Sep 13, 2020 Posts 3,315 Reaction score 5,058 Apr 18, 2022 #1 Hii sasa ndio CCM ya mafisadi na matapeli. Raia mwema yazidi kuibua maovu.
U utah jazz JF-Expert Member Joined Jul 21, 2021 Posts 1,816 Reaction score 3,993 Apr 18, 2022 #2 Na wenye madaraka ndani ya chama ndio waharibifu
C chikambabatu JF-Expert Member Joined Dec 29, 2015 Posts 1,339 Reaction score 1,318 Apr 18, 2022 #3 Inamaana jiwe aliacha na madeni makubwa chamani? Pia kesi ni za awamu gani? Sababu kuna awamu kiujumla tuliteleza, yaani kote kote!
Inamaana jiwe aliacha na madeni makubwa chamani? Pia kesi ni za awamu gani? Sababu kuna awamu kiujumla tuliteleza, yaani kote kote!