Elections 2010 CCM inajiandaa kuwa wapinzani au kuingia msituni?

Siku moja baada ya uchaguzi JK kujikuta ni “squatter” hapo Ikulu.

Hakuna utawala ulionyanyasa wapigakura kama miaka mitano ya JK. Bomoabomoa na unyang’anyaji wa viwanja ulishamiri sana kwa wale wenye kipato kidogo kwa visingizio vya fidia ya “danganya toto”.

Sasa baada ya watanzania kumfuta kazi JK hapo tarehe 31st Oktoba na yeye atajikuta ni “squatter” hapo Ikulu kama alivyozoea kuwafanya wenzie ma-squatter pale alipowanyan’ganya viwanja na nyumba zao kwa madai ya kuwafurahishia wawekezajiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii bomu kutoka nje au upanuzi wa barabara usiomjali mzawa.

U-Squatter wa JK utakwisha siku Dr. Slaa atakapoapishwaaaaaaaaaa na hivyo kumpisha mpagaji huyu mpya hapo Ikulu atakayeingia hapo kwa ridhaa ya watanzania.

Na yeye JK atapata malipo ya uzeeni ambayo Dr. Slaa atayarekebisha ili yarandane na watumishi wa kawaida serikalini………………

Hapo na yeye JK atajikuta anafanana na walalahoi ambao alizoea kuwatumia atakavyo mara baada ya kumpeleka Mheshimiwa huyu hapo Ikulu lakini yeye aliwatekeleza baada ya kufika huko.
 

CCM yenye hoja ilizikwa siku Mwalimu Nyerere alipozikwa......na ndiyo sababu hadi leo hawana pointi zaidi ya kusema kuwa wameleta uhuru kutoka kwa mkoloni.

Yaani mpaka leo hii kuna kundi la majuha wachache wenye mawazo ya zama za mawe wakidai kuwa wanafaidi matunda ya uhuru. Mwaka huu lazima tuwang'oe.
 
Zimbabwe? Usifanye kosa kuchagua RAIS MGONJWA tukaingia hasara ya kurudia uchaguzi

Mkuu nimekugongea senksi kwa hii signature yako, yaani big up vibaya mno, naongeza nyingine hapa.
 
Hivi kweli maisha ya msituni CCM watayaweza? Umweke Kepteni Komba na TOT yake na kile kitambi ataweza kweli kukimbia na AK-47?

ha ha ha Jasusi umeuaaa ... maandishi yako yatapendeza yakiwa na picha:

 

matapishi matupu unaandika
 
ha ha ha Jasusi umeuaaa ... maandishi yako yatapendeza yakiwa na picha:


hahaaaa mama weweeeeeee mbavu zangu..yaani huyu ndo wa kuingia msituni?labda atakuwa anaimbia mchiriku wapiganaji baada ya kuchoka na vita
 

Mtu mzima wewe acha bragging
 

Matatizo ya kuleta misa za kanisani kwenye majukwaa ya siasa. :becky:
 
Matatizo ya kuleta misa za kanisani kwenye majukwaa ya siasa. :becky:

Moderator angalia AVATOR ya KUDADADEKI nadhani unapaswa kumdelete anatukana nembo ya Chadema Alama katika Nembo ya CHADEMA ni vidole viwili maana yake victory ,yeye kaweka dole moja ni matusi sanan, nadhani watu wengi hamjaangalia haya ni kinyume cha kanuni zako mfute kabisa huyo
 
Moderator angalia AVATOR ya KUDADADEKI nadhani unapaswa kumdelete anatukana nembo ya Chadema Alama katika Nembo ya CHADEMA ni vidole viwili maana yake victory ,yeye kaweka dole moja ni matusi sanan, nadhani watu wengi hamjaangalia haya ni kinyume cha kanuni zako mfute kabisa huyo
 
Watanzania wenzangu, nimekuwa nikifikiria mambo yatakayotokea Tanzania siku za usoni. Jambo moja kubwa ni hali halisi itakanyokuwa katika usimamizi na ukosoaji wa hapa na pale wa shughuli za serikali wakati CCM itakapokuwa chama cha upinzani. Ninadhani watakuwa na uwezo mkubwa sana wa kuisimamia serikali. Ukimkamata mwizi na kumtumia vizuri anaweza kukusaidia katika kujua mtandao wa wizi. Kabisa, CCM watatusaidia! Katika miaka mitano tunaweza kuwa na utamaduni tofauti katika uendeshaji wa shughuli za umma. Ndiyo, miaka mitano tu, na labda hata ndani ya miaka mitano hiyo CCM wanaweza kutoka usingizini wakajionyesha kuwa tofauti na sasa na kutushawishi tukawarudishia tena nafasi ya kuongoza nchi. Fikra tu!
 

Aiseeeeee! ninavyoisubiria siku hiyo!!! I can't imagine seeing them wakitafuta nchi ya kukimbilia!:smile-big::smile-big::smile-big:
 

Yaani kama ulikuwa ktk medula obolongata yangu maana kichwa changu kinapasuka sana kukaa nikisikia habari za shishiem kila usiku,
Ni kweli kabisa kama hiki chama kitasaidia sana kutatua matatizo kikiwa pembeni kiweze kuibana serekali ya Dr Slaa-Chadema vizuri ili harakati zozote za wizi wa mali ya watanzania zikome kwasababu wanajua kila aina ya wizi na ubadhirifu wa rasilimali za watanzania.
Hongera kwa wazo kama hili ambalo nadhani litawagusa wengi.hata wale wasiojuika humu Jamiiforums.
 
Aiseeeeee! ninavyoisubiria siku hiyo!!! I can't imagine seeing them wakitafuta nchi ya kukimbilia!:smile-big::smile-big::smile-big:

Hapana ndugu yangu, CCM kikiwa chama cha upinzania wasikimbie nchi kama unavyotamani, watakuwa na nafasi kubwa sana ya kukosoa serikali. Shughuli hiyo ni muhimu sawa na ya kuwa chama tawala. Watatusaidia.
 
Baada ya miaka mitano, kitakuwa kama DP kikiwa na Mchungaji King Unge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…