Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Chama langu halipaswi kujichanganya juu ya suala hili kamwe, aidha kusema wajawazito kujifungua ni bure au watoto chini ya miaka mitano matibabu ni bure nasem ahivi kwa sababu ndani ya mda mfupi tu uliopita haya yalikuwa ni mambo ambayo yalikuwapo na baadhi yalitiliwa mkazo kweli kweli,kuhusu suala hili tunaonyesha dhahri kutokuwa watu wa misimamo thabiti.watanzania ni lazima waelewe haya yanayofanywa na rais huyu JPM ni mambo ya msingi mno na maadui wa taifa hawawezi kuyafurahia hata kidogo