Tetesi: CCM inakusudia kuandaa mandamano ya amani kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutatua mgogoro katika kata 11 za Tarafa ya Ngongoro

Ni upuuzi na matumizi mabaya ya akili
 
Ni kweli kabisa wanasiasa wanacheza na ufahamu mdogo wa wadanganyika. Lakini niwashauri tu,si vizuri kuwachezea binadamu wenzako kiasi hicho; wanasiasa wamuogope Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…