Elections 2010 CCM inakwangua fedha serikalini kwa ajili ya kuwanunua wapiga kura

Inawezekana Ndugu zako hawafanyi kazi serikalini,au hawajui kinachendelea,kama wako kwenye level ya kufanya maamuzi(executive level).then wamekudanganya ili usiwaharibie kazi zao.maana wamejua wewe ni msema hovyo.
UPENDE USIPENDE,hakuna Wizara iliyopewa OC inayozidi 10M,hakuna kitengo ambacho hakijaamriwa kutoa fedha kuchangia CCM.kama we mbishi waulize wafanyakazi wa ikulu juu ya vikao vya kina KINANA mwishoni mwa wiki huwa vinasemaje(probably huna Access hiyo).
Kama wewe si mnufaikaji wa ufisadi/CCM amka sasa tafadhali.
 
https://www.jamiiforums.com/uchaguz...ili-ya-kuwanunua-wapiga-kura.html#post1156382

Originally Posted by JOYCE PAUL

HONGERA KWA HARAKATI ZAKO ,najua unamatumaini sana na ahadi kibao kuwa utapewa kitengo flani baada ya ushindi wa CHADEMA.sidanganyiki na ushawishi wako kwa kila unavyojaribu kunijaza chuki yako kwa CCM.UNACHUKI KWA AJILI YA INTEREST ZAKO.






Please help this lady so that she can understand.... Don't use insults....


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…