Poppy Hatonn JF-Expert Member Joined Apr 9, 2021 Posts 3,095 Reaction score 4,632 Jun 12, 2024 #1 Nasikia habari hizi Dr. Emmanuel Nchimbi atakwenda Butiama kijijini kwa Mwalimu Nyerere. Lakini sijapata mtu wa kumuuliza. Certainly hapa kijijini Butiama kuna maandalizi ya kumpokea mgeni but I don't know who. Labda nimuulize Lucas Mwashambwa.
Nasikia habari hizi Dr. Emmanuel Nchimbi atakwenda Butiama kijijini kwa Mwalimu Nyerere. Lakini sijapata mtu wa kumuuliza. Certainly hapa kijijini Butiama kuna maandalizi ya kumpokea mgeni but I don't know who. Labda nimuulize Lucas Mwashambwa.