Si wamejiajiri? Si hiyo ndiyo secta isiyo rasmi? Kama ambayo ccm inaamini kwamba bodaboda ni ajitira ndivyo ambavyo inapaswa kuamini kwamba biashara holela mjini ni ajira piaMiji ni michafu sana, biashara kila sehemu kila aina. Shagalabagala kila kona kasoro Ikulu tu. CCM wanadhani kwa kufanya hivi itaepuka lawama la wananchi kumbe ndio inabeba lawama.
Raia mwenye akili timamu anajivunia kitu kizuri na safi kama vile masoko, mashule, barabara zilizopangika.
Shaghalabagala hii ni dalili kuwa serikali na CCM wanaelekea kubaya sana. Kitu ambacho CCM haikijui ni kwamba wanaofanya biashara holela na kucgafua mitaa sio wapiga kura, hawana muda wa kupiga kura.
Mtu kutoka nje ya nchi akifika leo tz atajua kuwa tz kuna ombwe la utawala kwa kuangalia tu namna barabara zetu zilivyo chafu na kusongwa na wafanyabiashara kila pahala na mitaa ilivyo shagala. Ni rahisi sana kuporwa pochi yako na mtu ambao utashindwa kumkimbiza kutokana na msongamano.Si wamejiajiri? Si hiyo ndiyo secta isiyo rasmi? Kama ambayo ccm inaamini kwamba bodaboda ni ajitira ndivyo ambavyo inapaswa kuamini kwamba biashara holela mjini ni ajira pia
Unani wewe chawa tulia ccm Ina wenyewe, wewe ni mwenyewe ai chawa