Uchaguzi 2020 CCM inapaswa kumhofia Prof. Lipumba siyo Tundu Lissu

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Huo ni mtazamo wangu.

Watanzania wa leo wana uwezo wa kuchanganua mambo yanayotoka kwenye vinywa vya wanasiasa wakilinganisha na data/ takwimu halisi.

Kama CCM inafikiria kumuhofia mtu basi mtu huyo awe Prof Lipumba siyo Tundu Antipas Lisu.

Tunaiona Caanan ng'ambo Mussa tuvushe!
 
Wakati flani naonaga kama una akili kidogo, lkn wakati mwingine mmmmh!
 
Sasa CCM wamefikia mahali pa kuanza kuuliza wamwogope nani kati ya wengi wa kuogopa, kweli yajayo yanafurahisha, CHAMA OGA, mtaipata freshi hata kabla ya October,mmetunyanyasa sana sasa basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…