CCM inapitisha bakuli (Tone tone) kwa makampuni

hata huku kwetu wanapita kwenye vibanda vya biashara kuomba kuchangiwa,.....CCM ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿ™Œ
 

UTARATIBU ULE ULE WASIO TOA MAJINA YATAENDA TRA KAMA KAWAIDA HATUWEZI KUKOSA MAKOSA KWENYE MA FAILI YAKO
 
hata huku kwetu wanapita kwenye vibanda vya biashara kuomba kuchangiwa,.....CCM ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿ™Œ
luka 12๐Ÿ™‚
โ€™ 22Lakini mimi nawaambieni, yeyote anayemkasirikia ndugu yake, lazima ahukumiwe. Anayemdharau ndugu yake atapelekwa mahakamani. Anayemwita ndugu yake: โ€˜Pumbavuโ€™ atastahili kuingia katika moto wa Jehanamu.
23โ€œBasi, ukipeleka sadaka yako mbele ya madhabahu na hapo ukakumbuka kwamba ndugu yako ana ugomvi nawe, 24iache sadaka yako mbele ya madhabahu, nenda kwanza ukapatane na ndugu yako, ndipo urudi utoe sadaka yako.
25โ€œPatana na mshtaki wako upesi mkiwa bado njiani kwenda mahakamani. La sivyo, mshtaki wako atakukabidhi kwa hakimu, naye hakimu atakukabidhi kwa askari, nawe utafungwa gerezani. 26Kweli nakuambia, hutatoka humo mpaka umelipa senti ya mwisho.
 
Hayanihusu wakiamua wauze na nchi, Mimi naendelea kutomba.
 
Na CHADEMA ipeleke barua za kuchangisha mchango kwa makampuni ichangiwe.
CHADEMA si haishiriki kwenye uchaguzi, wanataka michango ya nini tena ?๐Ÿผ
 
Haya mambo ndo aliyoyakataa JPM Sasa huyo anayechangia kesho akishikwa na madawa ya kulevya atafungwa kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ