CCM inasiasisha usalama wa nchi yetu. Ni HATARI!!!

Haijawahi ishi huko... Whisky zake enzi zile alikuwa ananywea kama siyo Aficana basi ni New Africa Hotel.

Na mshati yake ya vitenge...πŸ˜…πŸ˜…πŸ€£πŸ˜œ
Kila siku anatoa habari mara Tegeta nyuki au kwa NdevuπŸ˜†πŸ˜†
 
Huo ndiyo uhalisia.

Walipoambiwa wawapige CHADEMA na kuzuia mikutano yao walitekeleza.

Leo wameambiwa wawaache basi mpaka wanawasindikiza kwenye maandamano yao.

Nchi hii mchawi ni CCM.
Kuna tofauti ndogo sana kati ya CCM na Bokoharam,tofauti yenyewe ni uwa CCM inatekeleza ugaidi wake kwa kutumia vyombo vya dola.
 
Vijana badala ya kusoma na kuelewa mambo ya dunia, tunawaelekeza kwenye siasa ambako wizi wa baba zao, mama zao, shangazi zao, wajomba zao walioko kwenye siasa wanaona ndo sehemu ya kuiba pesa umma na kutajilika.
 

Attachments

  • IMG-20240920-WA0033.jpg
    136.3 KB · Views: 2
Vijana badala ya kusoma na kuelewa mambo ya dunia, tunawaelekeza kwenye siasa ambako wizi wa baba zao, mama zao, shangazi zao, wajomba zao walioko kwenye siasa wanaona ndo sehemu ya kuiba pesa umma na kutajilika.
Akiambiwa aoneshe chanzo cha hizo pesa zake ataweza?
 
Siasa za Tanzania, Makonda kateleza ngoja akina padre Kitima, Askofu Bagonza waje
 

Attachments

  • VID-20240921-WA0010.mp4
    11 MB
  • VID-20240921-WA0002.mp4
    10.3 MB
  • VID-20240921-WA0001.mp4
    3.5 MB
Umenikumbusha kuhusu cheo cha mwenyekiti wa ulinzi wa wilaya na mkoa
 
Hatari kubwa sana iliyopo ni kwamba Vyombo vya Ulinzi na Usalama (Majeshi) popote pale duniani huwa vina Misingi, Miiko na Maadili yake ambayo ni LAZIMA ifuatwe na kuzingatiwa kikamilifu, kitendo chochote kile ambacho kitakiuka au kuvunja miiko hiyo husababisha Chombo husika cha Ulinzi au Jeshi hilo kugeuka na Kundi la Kigaidi, badala ya kuwa Jeshi katika nchi.
 
Ukiwa mtafutaji hawezi kushindwa kutunza na kuendeleza, lakini ukiwa mpewaji hawezi kutunza wala kundeleza. Namaanisha CCM imepewa Nchi, ikamilikishwa kila kitty including jeshi. Maendeleo ya kijamii kiujumla itaendelea kuwa ndoto, wengine wengi hawahusishwi kisa vyama vingine
 
Wametengeza kundi la unyumbu, unyumbu wa kisiasa ni tabia ya waliopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga kwa viongozi wao bila utii, (unafiki), a.k.a kujizima data, ama kuahirisha kufikiri kizalendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…