chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Bado tuna safari ndefu sana ambayo kwa sasa ccm inaonyesha kutoa pesa nyingi kwenye media na mitandao watu wasijenge uwezo wa kuhoji kwa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi 2025.
Kuna party nyingi zinazofanywa na wasanii au time nyingi kwenye media wasanii au umichezo kupewa nafasi sana.
Hivi mfano juzi niliposhtuka kuona wasanii wakiwekewa airtime ya harusi kwenye media zilizopo ni nani yupo nyuma kulipa pesa zote.
Kwanini kumekuwa na kijana godlove kupewa kipumbele ambacho mpaka media zinampa mda dana.
Pesa zetu zinachezewa sana 2025.