GFM
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 706
- 8
http://4.bp.blogspot.com/_8wYlUz4nTtk/TMaP2XFo_qI/AAAAAAAABGI/JubBRaJTDXg/s1600/Monica+Jimotoli.jpg
Jamani hii picha nimeichukua kwa michuzi na inamuunyesha huyu "kingozi wa chadema" akirudisha bendera ya chadema kwa kikwete. Ukiangalia mkono wake wa kushoto ameshikialia bulunguti la hela. Mimi nilihoji kule kwa michuzi kwamba huyu mbona na hela mkononi au kanunuliwa, maana wewe uko kwenye kazi rasmi ya kuukana uanachama wa chadema sasa hela mkononi za nini. Kama kawaida yeke michuzi akachakachua (kaminya) comment yangu. Nyie mnaonaje hamna ukweli hapo?
View attachment 15810