Elections 2010 CCM inavyonunua watu

GFM

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
706
Reaction score
8
http://4.bp.blogspot.com/_8wYlUz4nTtk/TMaP2XFo_qI/AAAAAAAABGI/JubBRaJTDXg/s1600/Monica+Jimotoli.jpg

Jamani hii picha nimeichukua kwa michuzi na inamuunyesha huyu "kingozi wa chadema" akirudisha bendera ya chadema kwa kikwete. Ukiangalia mkono wake wa kushoto ameshikialia bulunguti la hela. Mimi nilihoji kule kwa michuzi kwamba huyu mbona na hela mkononi au kanunuliwa, maana wewe uko kwenye kazi rasmi ya kuukana uanachama wa chadema sasa hela mkononi za nini. Kama kawaida yeke michuzi akachakachua (kaminya) comment yangu. Nyie mnaonaje hamna ukweli hapo?
View attachment 15810
 
Hata kama kutakuwa na ukweli wowote kwamba CCM wananunua watu kutoka vyama vingine, lakini hapo kwenye picha huyo bwana hajashika pesa. Inaonekana ni kadi za chadema ambazo huyo kiongozi alizikabidhi pamoja na hiyo bendera. Inadaiwa kuwa wanachama wengine 17 waliihama chadema na kuingia CCM.
 
Mkuu wala usiwe na shaka. JK aliomba bendera kama wanavyobadilishana macaptain kabla ya mechi. Pesa unazoona ni salio baada ya kupatiwa kadi ya uanachama ya CHADEMA.
 
Ni vizuri kuangalia kwa makini. Si pesa kama ulivyoandika. Kwa jinsi inavyoonekana ni kama kadi za CHADEMA.
 
This is beyond uzushi. Labda upewe benefit of doubt kwamba huoni vyema.
 
Kama kweli ni kadi, sasa michuzi iweje aminye comments? najua yeye ndio mpiga picha!! na anafahamu ukweli
 
Mkuu wala usiwe na shaka. JK aliomba bendera kama wanavyobadilishana macaptain kabla ya mechi. Pesa unazoona ni salio baada ya kupatiwa kadi ya uanachama ya CHADEMA.

Na sio CCM?!
 
This is beyond uzushi. Labda upewe benefit of doubt kwamba huoni vyema.

Asante, na bwana michuzi mpiga picha ndio haswa kanitia chachandu baada ya kuminya comment yangu, yeye ndie anayejua kama ni kadi au hela!!
 
Ni vizuri kuangalia kwa makini. Si pesa kama ulivyoandika. Kwa jinsi inavyoonekana ni kama kadi za CHADEMA.
Hadi za chadema sizifahamu, najua wengi wanafikiri nimeipost kwevile ni mwanachama wa chadema, wala sipo humo, ni katika kupiruz tu nikaonya kitu hakieleweki na michuzi nae akaminya comment yangu
 
ni mojawapo ya coverage za propaganda kuhadaaa wananchi kuwa hata chadema wanarudisha kadi ccm
 
ni mojawapo ya coverage za propaganda kuhadaaa wananchi kuwa hata chadema wanarudisha kadi ccm

Nawasikitia watanzania wenzangu wasio na access na media maada sijui wanapigaje kura? vigezo, na ukizigani wagombea wa vyama vingine hawawezi kufika kila kona ya nchi yetu kutokana ufinyu wa bajeti
 
Subirini chadema wakishakuwa chama tawala mtaona akina premji watakavyolazimisha kupata kadi za chadema wakidhani sera ni zilezile za jiunge cmm mambo yako yawe safi.
Chadema itadumisha usawa na haki kwa wote bila kujali itikadi
 
Mimi ningesema wazawa kwanza, ukiangalia maofisi kibao hapa DSM madirector ni watu kutoka nje ya nchi na hata wale watanzania wachache waliokuwa ma MD wa mabenki maarufu wamepigwa chini wakawekwa wageni, hivi nani atatutetea watanzania. Ukiwa nje ya nchi kazi utakayopewa ya zile za ovyoovyo tu hapo bongo mtu akisikia kwa sio MTZ anakimbiliwa na kukupapatikiwa. Wizara ya kazi na maendeleo ya vijana haina sera zozote za kulinda watanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…