britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Kuna jambo watu hawajaligundua, ni kwamba CCM inawaweka pembeni baadhi ya watu kisayansi sana
Njia ziko mbili na zimefanya kazi, ya Tatu ya Mheshimiwa wa soko lake Dodoma ndo iliniacha hoi,
1. Ana uchu sana na Urais huyu kijana mpe majukumu yanayogusa moja kwa moja Wananchi watamuondoa wenyewe kwa mahesabu yao wenyewe bila system kumgusa,
2. Mpe kazi ya Mbali kama akina Nchimbi halafu 2026 hapewi kazi tena!!
3. Mheshimiwa Mwenyewe Jina la soko pale Dom hakuandika barua ile bali sayansii ilochorwa ni kwamba waambie wenyeviti wa mikoani waanze matamko alafu wakisha.... tunadraft kitu na ikafanya kazi naye alikuwa anaishangaa sana.
Chama kinamaliza figisu bila KELELE
Nani kocha wa MAMA SAMIA? namnukuu '' kuna mtu senior ndani ya Chama alisema haya wapinzani hawana shida na hawatasumbua wao kelele zao zitaishia mitandanoni ila hasa wa ndani kaa nao mkao wa kula''
BRITANICCA