Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,748
- 5,112
Kwanza kabisa mimi sio mfuasi wala mwanachama wa CCM wala chama chochote hapa Tanzania.
Binafsi kwa mtizamo wangu na kwa kutazama jamii nzima iliyo nizunguka nakiri CCM inaweza isiwe tatizo pekee hapa nchini.
Sisemi kuwa CCM ni bora hapana bali tuondoe matumaini makubwa kuwa siku CCM ikitoka tutapata mabadiliko na maendeleo makubwa.
Ukitazama majirani wote walio tuzunguka hatutofaitiana matatizo na hali zetu kabisa wote tunaelekeana pamoja ya kwamba baadhi ya majirani wamebadili vyama na vyama lakini hali bado siyo.
Ukitaka kuthibitisha pia hili jaribu kufanya kazi au kwa yoyote yule aliyewahi kufanya kazi na wazungu, wachina, wajapan hata wahindi naamini kuna vitu vya tofauti kagundua kati yetu na wao katika mambo kadhaa.
Ukitaka kuelewa zaidi soma historia ya mataifa yaliyo pachikwa jina la four asian tigers kwa nini ilikuwa rahisi watu wa ukanda ule kufanana katika mchakato wa maendeleo ?
Tuna tatizo kubwa zaidi ya CCM tofauti na tunavyo fikiri.
Zambia inanisikitisha na kuninyong'onyesha kwa yanayo endelea.
Pia soma
- Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?
Twende Mbele turudi nyuma, umasikini ndio mtaji mkuu wa CCM