ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Kwa hali iliyofikia viongozi wa chama wakae walitafakari hili kama vile chama kilivyoiokoa channel ten ndivyo hivyo chaweza kuinusuru klabu ya yanga,tena uzuri hakutakua na gharama za kununua jezi mpya sababu rangi zimeendana vilivyo njano na kijani
Chonde hili lifanyike mapema ili yanga waondoe lile tangazo lao la bakuli azam tv
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaugomea ushauri?Koh!Koh!
Yanga inaendeshwa na wanachama na mashabiki wengi wenye timu yao.Kwa hali iliyofikia viongozi wa chama wakae walitafakari hili kama vile chama kilivyoiokoa channel ten ndivyo hivyo chaweza kuinusuru klabu ya yanga,tena uzuri hakutakua na gharama za kununua jezi mpya sababu rangi zimeendana vilivyo njano na kijani
Chonde hili lifanyike mapema ili yanga waondoe lile tangazo lao la bakuli azam tv
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kutafuta namna ya kujinasua vinginevyo hali ndio itazidi kua tete manji hayupo tena.acheni uchawi, hao wanga ndo waje kununua timu ya wananchi
Hata idadi ya wanachama itaongezeka na kampeni itakuwa ni Yanga kucheza mechi kila kijiji badala ya kuwatumia WasaniiKwa hali iliyofikia viongozi wa chama wakae walitafakari hili kama vile chama kilivyoiokoa channel ten ndivyo hivyo chaweza kuinusuru klabu ya Yanga, tena uzuri hakutakua na gharama za kununua jezi mpya sababu rangi zimeendana vilivyo njano na kijani
Chonde hili lifanyike mapema ili Yanga waondoe lile tangazo lao la bakuli azam tv
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi shindana na ccm wewe bora ubakiemo tukwa mara ya kwanza nitakuwa nimehama timu kama hao kijani itafanya hivyo