Nahonyo JF-Expert Member Joined Dec 28, 2012 Posts 5,550 Reaction score 5,379 Feb 15, 2019 #21 publito said: Nitaacha kuishabikia siku hiyo Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ulitakiwa uache sasa hivi, Yanga ni Sehemu ya CCM, hebu rudi kwenye histoli uone. Hata wakati wa uchaguzi mkuu, picha ya mgimbea wa CCM hubandikwa pale kilabuni, kwanini hawaweki Simba. Unawezaje leo kuitenganisha Yanga na CCM. Sent using Jamii Forums mobile app
publito said: Nitaacha kuishabikia siku hiyo Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ulitakiwa uache sasa hivi, Yanga ni Sehemu ya CCM, hebu rudi kwenye histoli uone. Hata wakati wa uchaguzi mkuu, picha ya mgimbea wa CCM hubandikwa pale kilabuni, kwanini hawaweki Simba. Unawezaje leo kuitenganisha Yanga na CCM. Sent using Jamii Forums mobile app
Nahonyo JF-Expert Member Joined Dec 28, 2012 Posts 5,550 Reaction score 5,379 Feb 15, 2019 #22 Ndumbula Ndema said: Yanga ni timu ya watanzania wote,Ndiyo maana Hata Mbowe na Rage inapofikia hatua Hiyo wanavaa uzi wa jangwani Click to expand... Kwama maana huwezi tenganisha Yanga na CCM siyo. Sent using Jamii Forums mobile app
Ndumbula Ndema said: Yanga ni timu ya watanzania wote,Ndiyo maana Hata Mbowe na Rage inapofikia hatua Hiyo wanavaa uzi wa jangwani Click to expand... Kwama maana huwezi tenganisha Yanga na CCM siyo. Sent using Jamii Forums mobile app