First, voters are clearly tired of CCM and would surely want to replace it. The problem is that CHADEMA does not seem to be providing a credible alternative. This is mainly because, while CHADEMA has managed to expose the flaws of CCM, it has miserably failed to show that it can be a credible alternative. It is one thing to tell people that the road you are following is bumpy; it is completely another thing to show an alternative route to the bumpy road. It is not that CHADEMA does not have good policies. No. The CHADEMA 2010 manifesto came up with some of the best policies this country has ever produced. The trouble is that CHADEMA leaders are simply note interested in articulating their policy positions and pragmatic approaches to the problems confronting the country.
CHADEMA leaders have become so obsessed with digging poles into CCM policies and deeds and at throwing sound bites without substance. Consequently, the audiences truly find a lot of fun in what CHADEMA leaders would say, but nothing more than the fun that it comes with sound bites. Back home at a reflection table voters would find nothing tangible from what they were told at a public rally that can address their basic problems now and in future. The final conclusion: no alternative route and therefore I should continue with my bumpy road until a new road is found.
Mwalimu sidhani hayo maneno niliyo highlight kama yana ukweli na sijui umetumia kipimo kipi kutoa hii conclusion! Itakuwa vyema kama utafafanua zaidi maana hiyo Manifesto ina mkono wako kwa asilimia 100.Labda kujifagilia?
Nne, je Kitila haoni mgogoro waliouzusha umechangia sana katika 'shrinking ya chama'
Wakati wa chaguzi CDM ilikuwa inarushiana makombora ya matusi, wakati wa uchaguzi Kitila alikuwa busy akiandika mbadala wa vyama.
Mkuu ndio maana nimesema kuna upungufu wa analysis na data ima kwa bahati mbaya, kutoelewa au makusudi katika kupotosha. Nitafafanua.Kitila Mkumbo,
..nadhani ktk uchaguzi mdogo wa Busanda CDM walifuata campaign script uliyopendekeza hapa. pia kama sijakosea Zitto Kabwe featured very prominently ktk zile kampeni. Sote tunajua matokeo kule Busanda yalikuwa namna gani.
..binafsi nadhani formula ya ushindi iko in between hoja zako na hoja za wanaokupinga. sidhani kama CDM wako completely off the mark. kama wanaweza kujaza watu kwenye mikutano that is a good thing na juhudi na mbinu hizo lazima ziwe appreciated. Pamoja ni muhimu kutambua kwamba kazi kubwa zaidi ni kuwashawishi hao wanaohudhuria mikutano kwenda kukipigia kura chama.
cc Nguruvi3, Tumaini Makene, MTAZAMO
Swala kubwa hapa ni kwa nini Chadema najaza watu ktk mikutano yake lakini inapofikia upigaji kura wengi hawatokei?Kitila Mkumbo,
..nadhani ktk uchaguzi mdogo wa Busanda CDM walifuata campaign script uliyopendekeza hapa. pia kama sijakosea Zitto Kabwe featured very prominently ktk zile kampeni. Sote tunajua matokeo kule Busanda yalikuwa namna gani.
..binafsi nadhani formula ya ushindi iko in between hoja zako na hoja za wanaokupinga. sidhani kama CDM wako completely off the mark. kama wanaweza kujaza watu kwenye mikutano that is a good thing na juhudi na mbinu hizo lazima ziwe appreciated. Pamoja ni muhimu kutambua kwamba kazi kubwa zaidi ni kuwashawishi hao wanaohudhuria mikutano kwenda kukipigia kura chama.
cc Nguruvi3, Tumaini Makene, MTAZAMO
Swala kubwa hapa ni kwa nini Chadema najaza watu ktk mikutano yake lakini inapofikia upigaji kura wengi hawatokei?
Kwa umaarufu wa majukwaani walofikia Chadema sii chama kushinda kata 5 kati ya 27 sijui 29. Something is very wrong, yawezekana kuwa watu wanakipenda chama hiki kwa kuvutiwa na vuvuzela, vioja na mbwembwe majukwaani kama za msanii Diamond!!!
na msikate kuwa chaguzi hizi ndio kipimo halisi cha mafanikio ya chama. Kuendelea kuamini kinyume ni upofu mwingineo ambao pengine ndio unatulemaza!
Mkuu JokaKuu , nashukuru umeenda mbali na kutanua mjadala zaidi.Mkandara,
..swali ulilouliza ni la msingi kabisa linalohitaji majibu yanayotokana na uchunguzi wa kina.
..watu wengi sana wamejiandikisha kupiga kura lakini unapofanyika uchaguzi hawatumii haki yao hiyo.
..umati unaotokea ktk mikutano ya CDM na mapokezi wanayotokea hauendani na kura wanazopata CDM siku za uchaguzi.
..inawezekana tatizo liko ktk ujumbe unaowasilishwa na CDM kwa wananchi, au njia wanazotumia CDM kuwasilisha ujumbe huo, au watu wanaotumwa na CDM kuzungumza na wananchi.
..kwanini CDM wana guarantee ya kushinda uchaguzi Arusha mjini lakini wanashindwa ktk jiji la Dsm? Tatizo ni ujumbe, style ya kufikisha ujumbe, au messengers wa ujumbe huo?
MWISHO:
..kuna maeneo ambapo idadi ya watu ambao wamejiandikisha lakini hawakupiga kura ni kubwa kulinganisha na tofauti ya idadi za kura baina ya mgombea wa CDM ambaye ameshindwa na yule wa CCM. vilevile CCM imekuwepo madarakani kwa miongo kibao na imeshindwa kuboresha hali za maisha za wananchi.
..vigezo hivyo hapo juu ndivyo vinavyonitia "upofu" niamini kwamba CDM hawapaswi kukata tamaa bali wanapaswa ku-regroup, ku-finesse their message,na kutafuta wajumbe wazuri zaidi kuwashawishi wananchi kuwapigia kura.
Kitila Mkumbo, Tumaini Makene
Mkuu jambo moja tu ni kwamba sijafikia conclusion yangu pasipo kutazama takwimu kwanza. haiwezekani kabisa chama kama CDM kinavyopendwa na wananchi ati waje ktk mikutano yao kwa maelfu halafu siku ya uchaguzi wasitokee!.Mkuu JokaKuu , nashukuru umeenda mbali na kutanua mjadala zaidi.
Ndugu yangu Mkandara anasema something is wrong, ni kweli labda niongezee kwa sisi wenye mitazamo huru 'something very wrong'.
Nisipokubaliana na Makndara ni anaposema uchaguzi ni kigezo cha ustawi wa chama cha siasa. Mimi nasema ni zaidi ya uchaguzi, ni pamoja na kuangalia stability ya chama kama institution, kina progress gani katika kjitanua na kinavuna nini katika matanuzi hayo.
Ukimsoma Kitila na Mkandara tayari wana conclusion wanayoijua wao. Mimi nasema hapana huko ni ku mislead public, ni lazma conclusion itokane na data zilizopo na siyo zinazochaguliwa.
Wote kwa pamoja wanakubali kuwa katika uhamasiahaji CDM wamefanikiwa na kampeni zao zinaonyesha mafanikio kinyume na matokeo.
Nimeenda mbali na kusema kama watu wanakubaliana hayo waende mbali zaidi na kujiuliza wakati wa kupiga kura watu wanakwenda wapi? Haiwezekani watu wahudhurie mikutano tena mvua zikinyesha halafu washindwe kupiga kura kwa dakika chache?
Swali hilo CCM hawana jibu ingawa hawaonekani kusononeka, Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi hana jibu ingawa anapaswa kuwa nalo.
CDM hawana jibu ingawa wanahitaji jibu zaidi kuliko CCM na NEC ya uchaguzi.
JokaKuu kaja na hoja nyingine, hivi iweje Arusha, Mwanza na Mbeya CDM waweze kudhibiti masanduku ya kura lakini Dar isiwezekane?
Je CDM wana right message, wana right people katika maeneo wanayosimamisha wagombea.
Ukiangalia kwa ufupi kuna sababu aina mbili
1. Internal, ambazo tunajua ni weakness ya taasisi, Kuna resentment n.k.
Unaweza kuona Busanda uchaguzi lifanyika kwa 'template' ya Kitila na matokeo hayakuwa tofauti na kwingine. Miezi 18 tunafahamu kuwa ndani ya CDM kulikuwa kuna kung'ongana.
2. External ambazo CDM wanapaswa kuzifanyia kazi. kwanini watu hawapigi kura. Fungu kubwa sana la CCM linatumikaje na kwa njia zipi. Kura zinalindwa vipi, kuna Mamluki n.k.
Hoja yangu ni kuwa hili si suala la kutafuta mchawi tena baada ya 'kifo cha mgonjwa'.
Kwakuwa Nguruvi alimwambia Mkandara 'utaona' basi kila linalomsibu Mkandara hakuna anayeangalia pembeni, wote wanasema 'alisema utaona' hata kama ni malaria au minyoo!
Hili suala linahitaji scientific approach siyo resentment and pre arranged conclusion.
Halihitaji 'plug in data' to justify sababu zozote.
Mkuu ndio maana nasema ninyi wenzetu mna jambo! Mkuu tunaposema kujiandikisha hatuna maana kujiandikisha kwa watu wa Chadema. Tunazungumzia kujiandikisha kwa wapiga kura.Mkuu jambo moja tu ni kwamba sijafikia conclusion yangu pasipo kutazama takwimu kwanza. haiwezekani kabisa chama kama CDM kinavyopendwa na wananchi ati waje ktk mikutano yao kwa maelfu halafu siku ya uchaguzi wasitokee!.
Na haiwezekani kabisa kusema ati hawakujiandikisha kupiga kura maana umaarufu wa Chadema hauanza leo bali toka 2010 na wale walokuwa miaka 15 leo ni wakubwa wa kupiga kura. Haya walojiandikisha tu mwaka 2010 ni vijana wengi kwa mvuto wa Dr.Slaa ambao nina hakika CDM ingepata hata 1/3 ya majimbo yote uchaguzi huu.
Maadam CDM imeshinda majimbo 3 sijui kata 5 tu kati ya 27 hapa lazima kuna makosa makubwa sana yanafanyika ama wananchi hawana imani na viongozi wanaowekwa kugombea maana Tanzania siasa yetu hutazama mgombea zaidi ya chama.
Ebu subiri kwanza fafanua hili maana sijakuelewa!Mkuu ndio maana nasema ninyi wenzetu mna jambo! Mkuu tunaposema kujiandikisha hatuna maana kujiandikisha kwa watu wa Chadema. Tunazungumzia kujiandikisha kwa wapiga kura.
Swali ni kuhusu kujiandikisha wapiga kura bila kujali ni wa chama gani. Jibu la swali hilo wanalo NEC ingawa wanasema hawajui. Kusema hawajui ni kukwepa ukweli kuwa kuna tatizo mahali.
Hivyo mkuu siyo suala la mikutano ni suala la waliojiandikisha wawe CUF/CCM au CDM kwanini hawajitokezi.
Ukiangalia suala ninalozungumzia bila prejudice utaona mantiki. Ukiangalia kwa mtazamo wa CDM utapata majibu tofauti.
Tusijaribu ku plug in data au scenario, tuangalie mambo kwa upana wake.
Mkuu mbona tupo page moja!!Ebu subiri kwanza fafanua hili maana sijakuelewa!
Unachotaka mimi niamini ni kwamba watu wanaohudhuria mikutano ya Chadema ni wanachama wa Chadema? au wale wanaohudhuria mikutano ya CCM ni wanachama wa CCM?.
Swala la Daftari la wapiga kura halina chama wala wanachama ila wananchi wenye uwezo wa kupiga kura na NEC hawawezi kujua kila mtu alojiandikisha ni chama gani. Tusichanganye vitu hapa, kupendwa kwa Chadema haina maana ni uanachama bali kukubaliana na sera zao hivyo uko tayari kuwapa kura yako hata kama wewe sii mwanachama.
Vijana wengi wameonyesha upendo mkubwa sana na wanakikubali chama hiki cha Chadema inakuwaje wakati wa uchaguzi hawaonekani wakati mapenzi yao yalikuwepo kabla ya uandikishaji wa mwaka 2010.
Sidhani kama tupo ukurasa mmoja ktk hili maanake tunajua wazi kwamba wananchi sasa hivi wamekuwa na mwanga mkubwa kisiasa zaidi ya mika ilopita na haiwezekani asilimia ikaendelea kupungua. hata kama wamejiandikisha 19,000 na wakapiga kura 12,000 bado hiyo 12,000 ni kubwa kuliko ile ya uchaguzi ulopita. Kila mkoa daftari la wapiga kura limeongezeka mwaka 2010 na vile vile hesabu ya wapiga kura japo haikuwa sawa na walojiandikisha, iweje ushindi wa CDM uwe wa kusua sua pengine kuporomoka!Mkuu mbona tupo page moja!!
Nimesema suala la kujiandikisha na kupiga kura halijalishi chama. NEC inatakiwa ilifanyie kazi kupata jibu. Hatuwezi kupa jibu kwasababu NEC ya uchaguzi na NEC ya CCM hazitofautiani sana
Nisichokubaliana na hoja yako ni pale unaposema wasiojitokeza ni wafuasi wa CDM.
Pengine kundi hilo linaweza kuwa na athari kwa CDM kwa namna fulani hasa ikizingatiwa CCM hawana tatizo nalo lakini si tatizo la CDM pekee.
Ni jambo linalohitaji majibu mazito na ndio maana Kitila hakuliongelea.
Kwa kutoliongelea ni sawa na kunyofoa kiungo kimoja muhimu sana katika puzzle.
Tunaambiwa puzzle haina tatizo tatizo ni viongozi, well hiyo siyo sababu pekee ni moja ya sababu.
Si sahihi kuja na takwimu 19,000, 12,000 na 1000 kutoka 32,000 waliopiga kura na si 70,000 waliojiandikisha.
Then kukawa na conclusion kuwa tatizo lipo sehemu fulani na kufumbia macho tukio zima la kuhamasisha, kuhudhuria mikutano, kujiandikisha, kupiga kura, kuhesabu kura na matokeo.
Ndio maana nasema baadhi yetu humu tuna conclusion kinachofanyika ni ku plug in data