CCM issue ya mipango miji ni kama wameachana nayo, watu wajipange wenyewe

CCM issue ya mipango miji ni kama wameachana nayo, watu wajipange wenyewe

The Evil Genius

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
6,017
Reaction score
19,506
Serikali ya CCM imekuwepo madarakani kwa miaka zaidi ya 60 nchi hii lakini miji yote Tanzania haijapangiliwa.

Miji inajengwa hovyo hovyo, mtu anajenga popote, mipango miji hakuna, hakuna open space, hakuna play grounds, hakuna maeneo ya ujenzi wa huduma za kijamii.

Kinachosikitisha ni kwamba viongozi wetu kila kukicha wako Ulayq wakijionea miji na majiji yao yalivyopangwa na kupangika, barabara za mitaa zilivyojaa, miji inavyopendeza.

Hua najiuliza hua hawajifunzi hata jambo dogo tu kama hilo?
 
Back
Top Bottom